63تِلكَ الجَنَّةُ الَّتي نورِثُ مِن عِبادِنا مَن كانَ تَقِيًّا Hiyo ndiyo Pepo tutayo warithisha katika waja wetu walio kuwa wachamngu.