6يَرِثُني وَيَرِثُ مِن آلِ يَعقوبَ ۖ وَاجعَلهُ رَبِّ رَضِيًّا Atakaye nirithi mimi na awarithi ukoo wa Yaaqub. Ewe Mola wangu Mlezi! Na umjaalie awe mwenye kuridhisha.