50وَوَهَبنا لَهُم مِن رَحمَتِنا وَجَعَلنا لَهُم لِسانَ صِدقٍ عَلِيًّا Na tukawapa rehema zetu na tukawajaalia kupewa sifa za kweli tukufu.