90وَقالوا لَن نُؤمِنَ لَكَ حَتّىٰ تَفجُرَ لَنا مِنَ الأَرضِ يَنبوعًا Na walisema: Hatutakuamini mpaka ututimbulie chemchem katika ardhi hii.