58وَإِذا بُشِّرَ أَحَدُهُم بِالأُنثىٰ ظَلَّ وَجهُهُ مُسوَدًّا وَهُوَ كَظيمٌ Na mmoja wao akibashiriwa kwa msichana, uso wake unasawijika, naye kajaa chuki.