29فَادخُلوا أَبوابَ جَهَنَّمَ خالِدينَ فيها ۖ فَلَبِئسَ مَثوَى المُتَكَبِّرينَ Basi ingieni milango ya Jahannamu, humo mdumu. Ni maovu mno makaazi ya wafanyao kiburi!