56قالَ وَمَن يَقنَطُ مِن رَحمَةِ رَبِّهِ إِلَّا الضّالّونَ Akasema: Na nani anaye kata tamaa na rehema ya Mola wake Mlezi ila wale walio potea?