36قالَ رَبِّ فَأَنظِرني إِلىٰ يَومِ يُبعَثونَ Akasema (Iblisi): Mola wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watapo fufuliwa.