34قالَ فَاخرُج مِنها فَإِنَّكَ رَجيمٌ (Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni!