29الَّذينَ آمَنوا وَعَمِلُوا الصّالِحاتِ طوبىٰ لَهُم وَحُسنُ مَآبٍ Wale walio amini na wakatenda mema watakuwa na raha na marejeo mazuri.