55مِن دونِهِ ۖ فَكيدوني جَميعًا ثُمَّ لا تُنظِرونِ Mkamwacha Yeye. Basi nyote nyinyi nipangieni vitimbi, na kisha msinipe muhula!