105وَأَن أَقِم وَجهَكَ لِلدّينِ حَنيفًا وَلا تَكونَنَّ مِنَ المُشرِكينَ Na uelekeze uso wako kwenye Dini ya Kweli, wala usiwe katika washirikina.