110يُريدُ أَن يُخرِجَكُم مِن أَرضِكُم ۖ فَماذا تَأمُرونَ Anataka kukutoeni katika nchi yenu. Basi mnatoa shauri gani?