94فَاصدَع بِما تُؤمَرُ وَأَعرِض عَنِ المُشرِكينَ Basi wewe yatangaze uliyo amrishwa, na jitenge na washirikina.